Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarini wanajukwaa;
Ni Siku ya tatu ndugu yangu apa anatokwa ni vipele mithiri ya chunusi mwili,na vinawasha in tatizo?
Hili sio jibu kbxUkoo wenu hauna utamaduni kwa kwenda hospitali? Haya basi kapigeni ramli mjue nani kamloga ndugu yako
Jibu ni lipi??Hili sio jibu kbx
Umeshauriwa nini hapa zaidi ya kukashfiwa?Asante kwa ushaur wana jukwaaa
Hapa ulikuja kuomba nini?Tatzo lilikuw ni sabuni anayotumia.....