Vipele kama chunusi mwilini

Vipele kama chunusi mwilini

dyto

New Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
4
Reaction score
1
Habarini wanajukwaa!

Ni Siku ya tatu ndugu yangu apa anatokwa ni vipele mithiri ya chunusi mwili, na vinawasha in tatizo?
 
Habarini wanajukwaa;
Ni Siku ya tatu ndugu yangu apa anatokwa ni vipele mithiri ya chunusi mwili,na vinawasha in tatizo?

Ukoo wenu hauna utamaduni kwa kwenda hospitali? Haya basi kapigeni ramli mjue nani kamloga ndugu yako
 
Jitahidi uende hospital au badili sabuni za kuogea
 
Asante kwa ushaur wana jukwaaa
 
Back
Top Bottom