Vipele kisogoni vinatibikaje?

Vipele kisogoni vinatibikaje?

NITIKE NDOSI

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
153
Reaction score
86
Mambo niaje wanajamii,
najua wengi tupo kwenye mapumziko ya week end!
Nina rafiki yangu anasumbuliwa na vipele kisogoni,vilianza kama utani miaka mingi iliyopita na sasa imekuwa
tatizo sugu.
kilianza kipele kimoja,alipokipasua kikaendelea kuzaana na mpaka sasa kisogo hakitamaniki!
kajaribu dawa aina zote[kienyeji na za hospitalini] lakini imeshidikana

Yeyote anayejua tiba ya tatizo hilo anisaidie..........
 
atafute after shave moja inaitwa bump patrol
 
apige picha huo uchogo halafu aweke humu.,wana JF hatuhitaji mambo ya kufikirika,./tiba yako ni elimu kwa wengine
 
Back
Top Bottom