Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe ni mamake kuna tatizo gani? Mtoto apate dawa kwanza,malumbano nyumbaniUyu mtt mbona kafanana na wakwangu.......???[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Thawa Shangazi yake MttKama wewe ni mamake kuna tatizo gani? Mtoto apate dawa kwanza,malumbano nyumbani
Poa wifiThawa Shangazi yake Mtt
MbululaPoa wifi
AmbielelaMbulula
Na vya mwanangu vipo hivyo hvyo mkuu ngoja tuwasubirie wataalamAisee na mimi nitanufaika na jibu la swali lako.Mimi pia mtoto wangu katokewa vipele kama hivyo tangu ana mwezi mmoja.Nimejaribu lubadilisha sabuni na mafuta(kutoka kodrai na mafuta ya nazi kwenda deto junior na olive oil) lakini bado vinaendelea.Ni usoni na nyuma ya kichwa.Lakini havimuwashi.
Kuna kitu tunaita pustules...vipele viko na usaha ndani yake matibabu yake vikzd tumia Antibiotic(ampiclox syrup)Hapana mkuu ila kuna wakati vinakuwa na vi usaha hivi kama vichunusi
Medicate soap sio nzuri kwa watoto zinaeza ua mpaka normal flora wa ngozi pia mafuta ya maji sio mazuri sana esp kwenye maeneo ya joto.Na vya mwanangu vipo hivyo hvyo mkuu ngoja tuwasubirie wataalam
pia badili mafuta unayotumia.....mafuta mengine ni mazito sana....jaribu kutokumpaka mafuta yeyote kwa wik moja hiv.....bt kwa ushaur zaid kamuone daktari