Vipele kwa mtoto

Vipele kwa mtoto

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
1,301
Reaction score
739
Naombeni kujua hivi vipele kwa mtoto vimesababishwa na nini....ana miezi mitatu tu....
IMG_20161015_153353.jpeg
IMG_20161015_153343.jpeg
 
Pole mpendwa.... nakushauri utoe zile lebo zinazokuwa shingon kwenye nguo zake zoote......
 
Uyu mtt mbona kafanana na wakwangu.......???[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Vinawasha,mtoto anahoma,mtoto anashikwashikwa na watu sana?
 
Aisee na mimi nitanufaika na jibu la swali lako.Mimi pia mtoto wangu katokewa vipele kama hivyo tangu ana mwezi mmoja.Nimejaribu lubadilisha sabuni na mafuta(kutoka kodrai na mafuta ya nazi kwenda deto junior na olive oil) lakini bado vinaendelea.Ni usoni na nyuma ya kichwa.Lakini havimuwashi.
 
Na vya mwanangu vipo hivyo hvyo mkuu ngoja tuwasubirie wataalam
 
Hapana mkuu ila kuna wakati vinakuwa na vi usaha hivi kama vichunusi
Kuna kitu tunaita pustules...vipele viko na usaha ndani yake matibabu yake vikzd tumia Antibiotic(ampiclox syrup)
 
Na vya mwanangu vipo hivyo hvyo mkuu ngoja tuwasubirie wataalam
Medicate soap sio nzuri kwa watoto zinaeza ua mpaka normal flora wa ngozi pia mafuta ya maji sio mazuri sana esp kwenye maeneo ya joto.
 
pia badili mafuta unayotumia.....mafuta mengine ni mazito sana....jaribu kutokumpaka mafuta yeyote kwa wik moja hiv.....bt kwa ushaur zaid kamuone daktari
 
pia badili mafuta unayotumia.....mafuta mengine ni mazito sana....jaribu kutokumpaka mafuta yeyote kwa wik moja hiv.....bt kwa ushaur zaid kamuone daktari

Nipo mkoa wenye baridi ingawa.Kutompaka kabisa mafuta ngozi itababuka.Ngoja nijipange kumwona daktari ingawa kwa wilayani huku kumpata daktari wa watoto ni changamoto kiasi.
 
Back
Top Bottom