Vipele mwili mzima

concrete15

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
882
Reaction score
323
Naombeni ushauri jamani natokewa navipele mwili mzima sijui na alerg na nini mpaka sasa sijajua ni chakula gani nikila kinanifanya hivi.

Je kuna dawa za Alerg naombeni mnitajie majina na ipi ndio best.
 
Nimeona Bi Zaina ka post hii kwenye nyuzi nyingi sasa hivi:

Naombeni ushauri jamani natokewa navipele mwili mzima sijui na alerg na nini mpaka sasa sijajua ni chakula gani nikila kinanifanya hivi.

Je kuna dawa za Alerg naombeni mnitajie majina na ipi ndio best.
Pole sana ikiwa bado hujapona nitafute ninayo dawa ya kuweza kukutibu na ukapona ukinihitaji bonyeza.Mawasiliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…