Vipele mwili mzima

Vipele mwili mzima

concrete15

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
882
Reaction score
323
Naombeni ushauri jamani natokewa navipele mwili mzima sijui na alerg na nini mpaka sasa sijajua ni chakula gani nikila kinanifanya hivi.

Je kuna dawa za Alerg naombeni mnitajie majina na ipi ndio best.
 
Nimeona Bi Zaina ka post hii kwenye nyuzi nyingi sasa hivi:

Pole sana, chukulia kuwa tatizo lako limekwisha:

Ninapenda kuwafahamisha kuwa wenye tatizo hili linaloongelewa hapa sasa kuna tiba mbadala, Aunt Zainab Natural Super Clay imesaidia sana watu wazima na watoto wenye mapele mwilini na muasho wa mwilini. Iwe vipele au muwasho unasababishwa na fungus au bacteria basi ujuwe umepata dawa ya tatizo lako.

Aunt Zainab's Natural super Clay ni dawa 100% asilia na haina madhara wala side effects mwilini, kwa watu wazima watoto wadogo na hata wajawazito.

Licha ya tatizo hilo, inasaidia sana kwa magonjwa yote ya ngozi.

Pitia hapa:
Wenye Matatizo ya Chunusi na Zaidi: Aunt Zainab's Natural Super Clay

Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana
 
Naombeni ushauri jamani natokewa navipele mwili mzima sijui na alerg na nini mpaka sasa sijajua ni chakula gani nikila kinanifanya hivi.

Je kuna dawa za Alerg naombeni mnitajie majina na ipi ndio best.
Pole sana ikiwa bado hujapona nitafute ninayo dawa ya kuweza kukutibu na ukapona ukinihitaji bonyeza.Mawasiliano
 
Back
Top Bottom