kama tunamfahamu je?Simaanishi abandike picha ya kiburudisho, ila inawezekana kuchukua picha ya digital kwa kufocus sehemu kidogo iliyoathirika, bila kuonyesha nanihii, picha kama hiyo haiwezi kumdhalilisha au kuonyesha identity yake au jinsia.
kama tunamfahamu je?
kaka inaonekana huyo mpenzi wako yupo Serious sana,ina kubidi umpeleke akafanyiwe check up mkuu.dah mbona mademu wa wadau waJF wanasumbuliwa na magonjwa ya hajabu hajabu?
siajkuelewa unataka kufanya nini hasa, put it in black and white[/QUOTE
Sipo, matatizo aliyonayo hawezi kupata ufumbuzi kwa kusimulia tu, ushauri wa mwisho aende AKAMWONYESHE daktari, mataalamu wa dermatovenerology, namshauri aanze pale LUTHER HOUSE kuna kiliniki nzuri, kama si sehemu yake atashauriwa kwa kwenda.
hivi vipele vinavyopelekea kuharibika kwa sehemu za siri za mwanamke ni ugonjwa au ni kitu gani? Tusaidiane
siajkuelewa unataka kufanya nini hasa, put it in black and white[/QUOTE
Sipo, matatizo aliyonayo hawezi kupata ufumbuzi kwa kusimulia tu, ushauri wa mwisho aende AKAMWONYESHE daktari, mataalamu wa dermatovenerology, namshauri aanze pale LUTHER HOUSE kuna kiliniki nzuri, kama si sehemu yake atashauriwa kwa kwenda.
ooh thankx alot Visenti, naamini hapa Luther House uliponielekeza nitasaidika zaidi. Ckuwahi kujua kuwa kuna kituo kama hicho. Thanks once more