Vipele sehemu za siri za mwanamke, ni ugonjwa au?

Vipele sehemu za siri za mwanamke, ni ugonjwa au?

Simaanishi abandike picha ya kiburudisho, ila inawezekana kuchukua picha ya digital kwa kufocus sehemu kidogo iliyoathirika, bila kuonyesha nanihii, picha kama hiyo haiwezi kumdhalilisha au kuonyesha identity yake au jinsia.
kama tunamfahamu je?
 
kaka inaonekana huyo mpenzi wako yupo Serious sana,ina kubidi umpeleke akafanyiwe check up mkuu.dah mbona mademu wa wadau waJF wanasumbuliwa na magonjwa ya hajabu hajabu?

kaka ndio maisha husiombe yakukute ni balaa tupu ila ndo changamoto za maisha mkuu, thats why we are here
 
We Sipo na wewe, kila shida demu wako anayo.....vipele, kukutana na bwana wa zamani,si umwache tu?

kaka hayajakukuta nini wewe?
omba yakupitie mbali ni balaa tupu
lakini nitayashinda siku moja na kuwa mwenye amani tele moyoni
 
siajkuelewa unataka kufanya nini hasa, put it in black and white[/QUOTE

Sipo, matatizo aliyonayo hawezi kupata ufumbuzi kwa kusimulia tu, ushauri wa mwisho aende AKAMWONYESHE daktari, mataalamu wa dermatovenerology, namshauri aanze pale LUTHER HOUSE kuna kiliniki nzuri, kama si sehemu yake atashauriwa kwa kwenda.
 
hivi vipele vinavyopelekea kuharibika kwa sehemu za siri za mwanamke ni ugonjwa au ni kitu gani? Tusaidiane


Ndugu !!! Siwezi kukupa diagnosis kamili lakini naweza kukupa mfano wa tatizo ulizo elezea japo yaweza kuwa si sahihi..!

Kama vipele vinakuja na kupotea na kuacha sehemu za siri kuharibika yaweza kuwa ni Virus : wapo virus wajulikanao kama Herpes Simplex, wapo wa aina mbili kubwa ambazo moja ni Herpes simplex type 1 ambayo mara nyingi husababisha vidonda pembeni kwa mdomo hasa pale mtu anapo pata homa za mara kwa mara mfano homa za usiku na n.k.

Aina ya pili ni herpes simplex type 2 ,hawa hushambulia zaidi sehemu za siri za wakina mama na dalili zake ni maumivu katika vulva na vaginal wakati mwingine hata mapajani na matakoni pia, vipele vya hawa virus vinakuwa in form of blisters or lesions/ kama ulisha wahi ona mtu aliye ungua anakuwa na vijiuvimbe vilivyoweka maji ndani. vipele hivi huwa vinakaa kati ya siku 7 hadi 20 kisha vina potea, Baada ya muda vinajitokeza tena. mara nyingi watu wamekuwa wakichanganya kati ya Herpes simplex viruses na Herpes zoster ambao husababiswa na Varicella zoster virus au (shingle )

Kwa ushauri wangu Nenda kawaone madaktari bingwa wa magonjwa ya ngozi au hata wa magonjwa ya Kina mama..! Dawa zipo atasaidiwa na ushauri mzuri tu atapewa ,kwani hii ni karaha sana kwa wakina mama..huwa wakipata hali kama hii kweli utawaonea huruma sana..!!

Nadhani Dar wapo sina uhakika zaidi , Ila K.C.M.C Moshi ipo clinic ya magonjwa ya ngozi mwaka 2004 nilifika K.C.M.C na niliona pale.

Msaidie mama !!!
 
Last edited:
siajkuelewa unataka kufanya nini hasa, put it in black and white[/QUOTE

Sipo, matatizo aliyonayo hawezi kupata ufumbuzi kwa kusimulia tu, ushauri wa mwisho aende AKAMWONYESHE daktari, mataalamu wa dermatovenerology, namshauri aanze pale LUTHER HOUSE kuna kiliniki nzuri, kama si sehemu yake atashauriwa kwa kwenda.

ooh thankx alot Visenti, naamini hapa Luther House uliponielekeza nitasaidika zaidi. Ckuwahi kujua kuwa kuna kituo kama hicho. Thanks once more
 
Back
Top Bottom