Vipele sehemu za siri

mjuba101

Senior Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
159
Reaction score
65
Ndugu wataalamu wa JF naomba mtazame hii picha (snapshot) kisha msaidie kufafanua huo ni ugonjwa gani, vipele hivyo vimejitokeza katika sehemu za siri na haviwashi zaidi ya kutoa maji maji
 
ngoja wataalamu watakuja Riwa njoo huku kabwa yakusafiri moshi
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wataalamu wa JF naomba mtazame hii picha (snapshot) kisha msaidie kufafanua huo ni ugonjwa gani, vipele hivyo vimejitokeza katika sehemu za siri na haviwashi zaidi ya kutoa maji majiView attachment 125862

Sehemu gani ya siri? vilianzaje..vyote kwa pamoja au kimoja kimoja? Kam huwezi kufunguka PM.
 
Sehemu gani ya siri? vilianzaje..vyote kwa pamoja au kimoja kimoja? Kam huwezi kufunguka PM.

Mkuu kwanini aende kwenye pm! Kwani wengine hatuwezi kufaidika na maelekezo utakayotoa??? What a selfishness is this????
 
Weka mambo hapa hadharani wewe! Mbona hukuenda kwenye pm kuomba msaada??? Sometimes muangalie na wengine si nyie tuu???

Mkuu nimetuma picha ya utupu, ulitaka niitume hapa
 
mkuu kwanini aende kwenye pm! Kwani wengine hatuwezi kufaidika na maelekezo utakayotoa??? What a selfishness is this????
nyie ndio wakurupukaji nyie amemwambia kama hawezi eleza hapa amwandikie pm so amempa option kama ataweza hapa sawa hawezi am pm .sasa ubinafsi uko wapi hapo???????
 
Ndugu wataalamu wa JF naomba mtazame hii picha (snapshot) kisha msaidie kufafanua huo ni ugonjwa gani, vipele hivyo vimejitokeza katika sehemu za siri na haviwashi zaidi ya kutoa maji majiView attachment 125862

iyo ni genital herpes, ni ugonjwa unaotokana na virus , hauna dawa za hospitali kwa sasa zinazotibu ugonjwa huo.
 
sidhani kama utapata msaada mujaarab hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…