Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nimepata tayari msaada
Bujibuji hiyo ni tiba kabisa ama inapunguza matukio ya vipele, maana kuna mwenzetu kasema ugojwa huu hauna tibaHapo ni penadul 4, asomycin za 250 mg 46 na pia lazima upake acyrovin/ acyclovir cream kutwa mara mbili
Well nilienda Hospital
Dokta akadai sio huo ugonjwa wa genital herpes lakini amenipa hii dawa yaitwa cylclovax cream, amedai kuna infection kwenye blood na amenipa pia antibiotics zinaitwa ampiclox
Hapo ni penadul 4, asomycin za 250 mg 46 na pia lazima upake acyrovin/ acyclovir cream kutwa mara mbili
Umeona ehhh, tiba mahsusi kwa diagnosis niliyokuwa nimeifanyaBujibuji hiyo ni tiba kabisa ama inapunguza matukio ya vipele, maana kuna mwenzetu kasema ugojwa huu hauna tiba
Well nilienda Hospital
Dokta akadai sio huo ugonjwa wa genital herpes lakini amenipa hii dawa yaitwa cylclovax cream, amedai kuna infection kwenye blood na amenipa pia antibiotics zinaitwa ampiclox
ila unafanana na genital herpes ambayo yenyewe hujirudia ama sehemu iyo iyo au karibu na eneo ilo la mwanzo sehemu za siri, maana iyo cream pia ni antiviral , hupunguza virus hususan herpes simplex virus. kwel magonjwa ni meng!
Ninatibia nyumbani, niligraduate Bachelor of Arts in Street Arts and Martial ArtsKumbe buji buji we ni daktari
Riwa mbona hatujauona ushauri wko mkuu
Ndugu wataalamu wa JF naomba mtazame hii picha (snapshot) kisha msaidie kufafanua huo ni ugonjwa gani, vipele hivyo vimejitokeza katika sehemu za siri na haviwashi zaidi ya kutoa maji majiView attachment 125862