Vipele sehemu za siri

Hapo ni penadul 4, asomycin za 250 mg 46 na pia lazima upake acyrovin/ acyclovir cream kutwa mara mbili
 
Bujibuji hiyo ni tiba kabisa ama inapunguza matukio ya vipele, maana kuna mwenzetu kasema ugojwa huu hauna tiba
 
Well nilienda Hospital
Dokta akadai sio huo ugonjwa wa genital herpes lakini amenipa hii dawa yaitwa cylclovax cream, amedai kuna infection kwenye blood na amenipa pia antibiotics zinaitwa ampiclox
 
Umeona ehhh, tiba mahsusi kwa diagnosis niliyokuwa nimeifanya
 
Well nilienda Hospital
Dokta akadai sio huo ugonjwa wa genital herpes lakini amenipa hii dawa yaitwa cylclovax cream, amedai kuna infection kwenye blood na amenipa pia antibiotics zinaitwa ampiclox

ila unafanana na genital herpes ambayo yenyewe hujirudia ama sehemu iyo iyo au karibu na eneo ilo la mwanzo sehemu za siri, maana iyo cream pia ni antiviral , hupunguza virus hususan herpes simplex virus. kwel magonjwa ni meng!
 
Yah mkuu haya maisha yashakua compromised
 
pole sana ndugu yangu hii ni herpes naweza sema hivyo kwa haraka haraka, kama umewahifanya mapenzi bila kondom au kumgusa mtu mwenye ugonjwa huo then ukajishika wewe bila kunawa lakini kama ipo kwenye nyeti hiyo ni kutokana na gono ndio ukapata, Dawa yake ni maombezi tu yaani kwajina la YESU kama unaamini.
 
Ndugu wataalamu wa JF naomba mtazame hii picha (snapshot) kisha msaidie kufafanua huo ni ugonjwa gani, vipele hivyo vimejitokeza katika sehemu za siri na haviwashi zaidi ya kutoa maji majiView attachment 125862

hii ni Vagina au anis?

anyway these are called herpes simplex type2 ni virus vnavyoenezwa kwa ngono, ebu paka Topical Acyclovir Cream then itapotea!!! icpotoka nitafute!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…