Ila pia kuna kitu Iringa wanaita msango au ndo mchango sijui jaribu kuwaonyesha wananchi wa kawaida hiyo aina ya vipele au pigia ndugu zako wa Iringa vijijini waulize kuhusu msango/mchango uone kama wenyewe watakupa dawa zake zinatokana na miti kabla haijapelekwa kiwandani kutengenezwa tena kuwa dawasawa mkuu ngoja niondoke dar likizo nione
sawa ngoja nifanye hivyoIla pia kuna kitu Iringa wanaita msango au ndo mchango sijui jaribu kuwaonyesha wananchi wa kawaida hiyo aina ya vipele au pigia ndugu zako wa Iringa vijijini waulize kuhusu msango/mchango uone kama wenyewe watakupa dawa zake zinatokana na miti kabla haijapelekwa kiwandani kutengenezwa tena kuwa dawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia mafuta gani ya kujipaka? Mimi niliteseka sana na vipele kama hivyo nikiwa chuo vilikuwa vinanitokea mikononi vinapotea baada ya muda vinarudi tena...nilitumia dawa nyingi bila kuona matokeo mwisho nikasema basi ni maumbile yangu, sikujua tatizo ni nini. Kipindi hicho nilikuwa najipaka cocoa butter, nilikuwa nayapenda sana hayo mafuta. Nilipoanza kazi sikuwa natumia tena hayo mafuta na sikuwa napata vipele, ila mwaka juzi nikayakumbuka mafuta yangu nikayanunua kutumia mara moja tu kesho yake vipele hivyo vimerudi ndio nikagundua nina allege nayo japo ni mafuta mazuri sana. Ilibidi nifanye research ndio nikagundua kuna watu huwa wana allergy na cocoa butter na mimi ni mmoja wapo. Jaribu kuacha mafuta unayotumia kwanza uone kama vipele vitapotea.[/QUOTEnikweli naamini kabisa kwasababu nilikua natumia vaciline nimeacha wiki iliyopita baada ya kupata ushauli kwa watu sahisi naona haviwashi vinazid kupotea
Asante ngoja ntazitafuta hizo dawaPole kaka kwa kifupi usipuuzie huo ugojwa. Mdogo wangu alianza kama wewe lkn tumesota nae sana hadi KCMC. Waone madaktari na uanze tiba mapema. Usiwaze magojwa magumu kama kaswende wala HIV. Mwili unaweza kureact kwa sumu na kutoa upele mwili wote. View attachment 1050639View attachment 1050640
Sent using Jamii Forums mobile app