Vipele vigumu ndani ya kuta za uke.

miminani

Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
51
Reaction score
7
Habari wana Jf.. nina tatizo la kuwa na vipele vigumu kwenye kuta za mashavu ukeni. Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo kwa muda mrefu. Nimekuwa nikitumia dawa bila mafanikio.. mwanzon vilikuwa pande zote mbili lakini kwa sasa vipo upande mmoja .

Haviumi na havitoi harufu. Napata normal discharge na nilishawah kwenda hospital nikaambiwa may b infection ya kutumia cream wakat wa kushave na nikapewa dawa nikatumia.. kwa sasa nimeacha kutumia lkn vipele bado vpo. na ukiangalia kwa haraka havionekani mpk nikiminya kwa ndan ndo kuna kiuvimbe vya kipele viwili. MSAADA PLS.
 
Huwa unajisaidia kujigegeda or unafanya masterbation? Maana sidhan kama utaweza kujigundua vipele ndan ya mashavu ya pale kati
Ila usjal ni normal situation coz hata mm ktk uume kuna vipele ila naona kama msaada vile ktk kutia chachandu wakat wa kugegeda
Mwisho kuna daktar alinambia hv
"We suffer bcoz we are aware(clever)"
Mungu atakuponya ila uc one kama n ugonjwa it is normal
 
USHAURI WANGU UACHE KUTUMIA DAWA YA KUSHAVE NYWELE ZA SIRI BADALA YAKE UTUMIE MASHINE YA KUNYOLEA AMBAYO GHARAMA YAKE HAIZIDI 20000 NI NJIA SALAMA SANA,KWA MAELEZO ZAIDI UNAWEZA UKANIPM
 
Mm n mwanamke. Na kila niogapo n lzm nijisafishe kuhakikish K' ipo ktk hali ya usafi . Na km kuna tofaut lzm nitafutie ufumbuz cz hapo mwanzo haikuwa hv. hayo ya kujigegeda mm siyajui
 
Havionekani kwa picha .. n mpaka nikigusa ndo naona km kuna kaugumu kama kipele .. ni kiasi cha kujibinya na kugundua kuna kipele kwa ndani
Umesema "muda mrefu"... how long? Miaka 2/3/10? Jaribu kuwa specific itapanua wigo wa kushauriwa!
Ungemwona pia gynecologist kwa msaada wa kitaalam zaidi!
 
Mm n mwanamke. Na kila niogapo n lzm nijisafishe kuhakikish K' ipo ktk hali ya usafi . Na km kuna tofaut lzm nitafutie ufumbuz cz hapo mwanzo haikuwa hv. hayo ya kujigegeda mm siyajui
Pole aisee.
Jtahd kuacha dawa za kushave coz zna kemikali
Jtahd kutumia mashine or wembe kukata msitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…