Vipele vimezalisha kidoda sehemu za siri.

Mungu akusaidie dudu yako isikatike.Maana ni bora ufe kuliko ukose hii kitu.
 
Kimbia hospital Mara Moja upate matibabu usije kosa mtarimbo shauri yako
 
Kama imefikia hali ya kuwa kidonda nenda hosp. Pia, ushauri ni kuwa ukiwa na mchubuko sirini si vema kufanya tendo LA ndoa kwani itapelekea kuchelewa kupona ama kuongezeka kwa tatizo. Jizuie wakati mwingine. Mke ni wako, mbio za nini?

Nyege dada angu.
 
Naelewa, ila ukiziendekeza mwishowe zitakuletea mateso. Halafu michubuko hupona haraka sana

Sawa dada saiv nimeacha kufanya maana wife kaenda kwenye mwezi,,hiyo ndo ponapona yangu.
 

Ni vile vinavyootaga baada ya kunyoa,ila safar hii viliota vikubwa kidogo asa baada ya msuguano vikachubuka,ule mchubuko ukaongezeka na kuzalisha kidonda.
Sijui umenielewa.
 

Aisee umeongea pointi,,asante sana kaka.

Kufukunyuana tumeacha jana nilivokuwa naandika huu uzi,kwa sabab wife kaenda kwenye mwezi ko ntapumnzika.
 
Kimbia hospital Mara Moja upate matibabu usije kosa mtarimbo shauri yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Hii kitu ni mhimu sana yaan bora nife kulko kukosa mtarimbo.
Mungu akusaidie dudu yako isikatike.Maana ni bora ufe kuliko ukose hii kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…