Vipele vimezalisha kidoda sehemu za siri.

Vipele vimezalisha kidoda sehemu za siri.

Mi ni mwanaume,,sasa nilinyoa nywele za siri,,baada ya siku vhache kukaota vipele vidogo vidogo,,kwa kipind chote icho my wife alikuwa kasafiri,,lkn alirudi kipind vile vipere vimeota sehem ya shina ya uume,,,sasa tukafanya nae kama siku mbili ivi ,asa vile vipele vikawa vinauma kwa sabab ya ile friction na vilianza kuchubuka,,,sikukoma tukaendelea kudinyana tu,,sasa saiv vile vipele vimechubuka vimeungana na kimetengenezwa kama kidonda kikubwa kiasi na saiv kinauma sana,, , wanajukwa wenzangu nifanyaje??? Kama kuna dawa tuambizane ,,,mana likija suala la tendo la ndoa huwa tunafanya lkn maumivu pale kweny kidonda baada ya friction huwa nayasikia na nikishamaliza huonhezeka. ,,,je huu ni ugonjwa???

Nawasilisha kwenu.
Mungu akusaidie dudu yako isikatike.Maana ni bora ufe kuliko ukose hii kitu.
 
Kimbia hospital Mara Moja upate matibabu usije kosa mtarimbo shauri yako
 
Kama imefikia hali ya kuwa kidonda nenda hosp. Pia, ushauri ni kuwa ukiwa na mchubuko sirini si vema kufanya tendo LA ndoa kwani itapelekea kuchelewa kupona ama kuongezeka kwa tatizo. Jizuie wakati mwingine. Mke ni wako, mbio za nini?

Nyege dada angu.
 
Naelewa, ila ukiziendekeza mwishowe zitakuletea mateso. Halafu michubuko hupona haraka sana

Sawa dada saiv nimeacha kufanya maana wife kaenda kwenye mwezi,,hiyo ndo ponapona yangu.
 
Kuna aina nyingi sana za magonjwa ya ngono, am sure umelikwaa mojawapo.
Aidha uliambukizwa na mkeo au na mchepuko.
Kumbuka baadhi ya magonjwa ya ngono anaweza kukuambukiza mwanamke wewe uliyeambukizwa dalili zikakua lakini yeye asitambue kuwa ana ugonjwa mwilini mwake.
Nenda kapime maisha yaendelee.
Hongera kwa kuthubutu kuja hapa

Ni vile vinavyootaga baada ya kunyoa,ila safar hii viliota vikubwa kidogo asa baada ya msuguano vikachubuka,ule mchubuko ukaongezeka na kuzalisha kidonda.
Sijui umenielewa.
 
Inashauriwa ukiwa na aina yyte ya mchubuko sehem za siri hata uwe mdg vp basi epuka kujamiiana hasa hasa kwa mwanaume. Yale maji/ute wa mwanamke una normal flora ambao wakiingia kweny mchubuko wako basi watasababisha infection sabab sio mahala pake (foreign) hivyo watasababisha kuchelewa kupona kwa mchubuko na huenda ukazid kukua km kidonda kabsa km ilivyo kutokea ww bwana mdg.

Hivyo peaneni likizo ya kufukuana kwa muda mpk upone.

Aisee umeongea pointi,,asante sana kaka.

Kufukunyuana tumeacha jana nilivokuwa naandika huu uzi,kwa sabab wife kaenda kwenye mwezi ko ntapumnzika.
 
Kimbia hospital Mara Moja upate matibabu usije kosa mtarimbo shauri yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Hii kitu ni mhimu sana yaan bora nife kulko kukosa mtarimbo.
Mungu akusaidie dudu yako isikatike.Maana ni bora ufe kuliko ukose hii kitu.
 
Back
Top Bottom