4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wakuu salam, kila mmoja kwa imani yake wajf popote mlipo.
Leo ni leo vipenga kwa pande zote vimelia ,Mbowe anagombea ,lissu anagombea kazi kwenu wajumbe kutuletea mtu Mhimu kwa wakati muhim. Mbowe na lissu wote bado chama kinawahitaji ila kwa nyakati za sasa Lissu ni mtu sahii.
Leo natangaza rasmi kwa kipindi ichi binafsi nipo team lissu na sio kwamba namchukia Mbowe.
Hakuna haja ya maneno mengi lissu atashinda ,wala hakuna sababu ya kukata tamaa ,Mbowe kutangaza kugombea hajavunja katiba ya chama, kazi kwenu wajumbe kutuwakilisha vilivyo.
Kamati ya ushindi ya Lissu hiki sio kipindi cha kulala inatakiwa kupigwa kampeni na kuonesha sayansi ya siasa sio muda wa kulalama.
Kama pesa tangazeni account tuanze michango wa sh mia, 200, n.k tutafika.
Note: Historia ipo wazi kwa Lissu kwenye figisu ndo huwa anapasua mpaka watu wanashangaa.
Huu uchaguzi ni wa kuwaonesha dunia kwamba chadema ipo na wanachama bora na wajumbe bora ambao ni zao la wanachama bora.
Thanks by
4 7Mbatizaji