Vipengele vya tuzo kwa members wa JF mwaka 2017, piga kura yako hapa..

Vipengele vya tuzo kwa members wa JF mwaka 2017, piga kura yako hapa..

Tuzo ya asiweza kutuma picha jf sijaiona, na hiki ndio kipengele changu.
 
Ngoja nisubirie Tuzo yangu namba zikiongezeka, maana zilizoorodheshwa ni chache mno.
 
Mbona baadhi ya points ni ngumu kuthibitisha , sheria ya jf inakataza kupost vitu vya uongo half unasema mtu achaghuliwe
Mtu tapeli utathibisha vipi,

Kuna point nyingine ilifaa kuongezwa

25. Mchangiaji wa kwanza aliyetokea kwenye post nyingi nacho ni kipaji
JOSEVEREST [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom