Vipengele vya Tuzo za Muziki za TMA 2024 ni Pamoto

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo imeanza kutangaza Vipengele vya wanavyowania tuzo za muziki nchini kwa kuanza na vipengele vitatu ambavyo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa taarabu wa mwaka na wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi.
  • Akitaja Vipengele vya tuzo hizo Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya tuzo za TMA Seven Mwosha amesema kuwa msanii Ali Kiba Naseeb Abdul’Diamond Platnum’ Omary Mwanga ‘Marioo’ Rajab Abdul ‘Harmonize’ pamoja na Jay Melod watawania kinyanganyiro cha Mwimbaji bora wa Kiume wa mwaka 2024.
  • Shughuli ya upigaji kura inatarajiwa kufunguliwa rasmi September 3, 2024 na kufanyika mwishoni mwa Septemba katika ukumbi wa The Super Dome Masaki jijini Dar es Salaam.
  • Wimbo bora wa taarabu wa mwaka kuna Watu na Viatu ya Malkia Layla Rashid, Hatuachani ya Amina Kidevu, Bila Yeye Sijiwezi ya Mwinyi Mkuu, Sina Wema ya Mwasiti Mbwana na DSM Sweetheart ya Salha.
  • Wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi kuna People ya Libianca, American Love ya Qing Madi, Lonely at the Top ya Asake, Unavailable ya Davido ft Musa Keys na Mnike ya Tyler ICU.
  • Kwa upande wa Mwanamuziki bora wa mwaka wa kiume kuna Marioo kupitia wimbo wa Shisha , Diamond Platnumz kupitia Shuu, Harmonize kupitia Single Again , Alikiba kupitia Sumu na Jay Melody kupitia wimbo wa Nitasema
  • Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2024 ni mojawapo ya hafla kubwa zinazosherehekea na kutambua vipaji na juhudi za wasanii wa muziki nchini Tanzania. Tuzo hizi zimekuwa zikitolewa kila mwaka kwa lengo la kutoa heshima kwa wasanii wanaofanya vizuri kwenye tasnia ya muziki.
  • Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) ilitangaza Agosti 29, 2024 Vipengele vya wanavyowania tuzo za muziki nchini huku zoezi la upigaji kura likianza rasmi September 3, 2024 hadi mwishoni mwa Septemba katika ukumbi wa The Super Dome Masaki jijini Dar es Salaam.
  • Akitaja Vipengele vya tuzo hizo Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya tuzo za TMA Seven Mwosha alisema Kwa upande wa Mwanamuziki bora wa mwaka wa kiume kuna Marioo kupitia wimbo wa Shisha , Diamond Platnumz kupitia Shuu, Harmonize kupitia Single Again , Alikiba kupitia Sumu na Jay Melody kupitia wimbo wa Nitasema

  • Huku wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi kuna People ya Libianca, American Love ya Qing Madi, Lonely at the Top ya Asake, Unavailable ya Davido ft Musa Keys na Mnike ya Tyler ICU.
  • Aidha vipengele vingine ni kipengele cha Tanzania Global Icons Award (Mtanzania anayeipeperusha vema bendera ya Tanzania Kimataifa) ambapo wanaowania ni Mchezaji Mbwana Samatta, Mwanamitindo Flaviana Matata , Wanasarakasi Ramadhan Brothers, pamoja na Anisa Mpungwe na Clara Luvanga.
  • Kipengele kingine ni Best Dance Music Song of The Year ambacho kina Diamond ft Koffie Olomide kupitia wimbo wa Achii, pia kuna Malaika Band wimbo wa Kanivuruga, Melody Mbassa wimbo wa Nyoka na Twanga Pepeta kupitia wimbo wa Mmbea.
  • Kipengele kingine ni Best Traditional Musician of The year (Mwanamuziki Bora wa Nyimbo za Asili) ambapo yupo Erica Lulakwa, Elizabeth Maliganya, Sinaubi Zawose, Ngapi Group na Wamwiduka Band.
  • Kamati ya TMA imeendelea kutaja Wasanii wanaowania vipengele tofautitofauti ikiwemo kipengele cha Msanii Bora wa HipHop ambapo majina yanayowania tuzo ni Joh Makini, Stamina, Young Lunya, Kontawa na Rosa Ree.
  • Kipengele kingine ni cha wimbo bora wa HipHop ambapo zimeingia ngoma za Bobea ya Joh Makini , Machozi ya Stamina, Stupid ya Lunya, Current Situation ya Country Wizzy na Uongo ya Rapcha.
  • Miongoni mwa vipengele hivyo ni Msanii Bora wa HipHop, ambapo majina makubwa kama Joh Makini, Stamina, Young Lunya, Kontawa, na Rosa Ree yamechaguliwa. Hii ni kategoria yenye ushindani mkali kwani kila msanii katika kipengele hiki ana wafuasi wake na mafanikio makubwa katika muziki wa HipHop.
  • Kipengele cha Mwanamuziki bora wa Reggae wa mwaka kinawaniwa na Dipper Rato 'Grateful', Akilimali 'Africa Mama', Dimateo 'Ryhmes Tonight', Warriors from the East 'Wewe', Ras Nono 'Andika',
  • Mtozi bora wa Muziki wa Hip- Hop wa mwaka kuna Black beats,Dupy beatz, Ommydady, Ringle beatz, na S2kizzy
  • Wimbo bora wa Dancehall wa mwaka kuna Tinga a ling ya Dj Davizo, You ya Planner, Nampenda ya Bayo the great na Mr Hater ya Appy
  • Wimbo bora wa Reggae wa mwaka kuna Rymes tonight wa Dimateo Zion, Give and thanks wa Mr. Kamanzi, Salamu zako wa Paul Mihambo, Wewe wa Warriors from the east,
  • Mwongozaji 'Director' bora waa video ya muziki wa mwaka kuna Director Wayan, Hanscana, Folex, Ivan, Nicklass
  • Mwanamuziki bora chipukizi wa mwaka kuna Appy, Chino kidd, Mocco Genius, Yammi, Xouh
  • Mwimbaji bora wa muziki wa singeli wa mwaka kuna D Voice, Dogo Elisha, Dulla makabilla, Lamona, Mchina mweusi
  • Mwanamuziki bora wa dancehall wa mwaka kuna Dj Davizo, Bayo the great, Baddest 47 ft Mabantu, Appy
  • Mwandishi bora wa mwaka kuna Dulla Makabila, Mbwana Yusuph Kilungi, Sharif Said Juma, Omary Ally Mwanga, Thabit Abdul
  • Mtunzi bora wa muziki wa Dansi wa mwaka kuna Christian Bella, Dad One Touch, Master Keys, Erasto Machine,
  • Wimbo bora wa Asili wa mwaka Pesa wa Sinaubi Zawose, Aragoba wa Erica Lulakwa, Muziki hauna mwenyewe wa Wazawa Music band, Sauti ya Kumoyo wa Man fongo and nyati group
  • Wimbo bora wa singeli wa mwaka kuna Nije ama nisije wa Dulla Makabila, Kitu kizito wa Rayvanny na Misso Misondo, Mr Dj wa Dogo Elisha, Nikiacha kama nimeachwa wa Mchina mweusi na Karibu Tanzania wa Hemedi Kiduku
  • Dj Bora wa mwaka kuna Dj D Ommy, Dj Seven Worldwide, Dj Shana Mnyamwezi, Dj Ally B, Dj Mamie
  • Mtozi 'Producer' bora wa muziki wa Bongo fleva wa mwaka kuna S2Kizzy, Ibra Jacko, Trone, Aloneym, Mr LG
  • Mtunzi bora wa Muziki wa Taarabu wa mwaka kuna Bob Rama, Father Mauji, Thabit Abdual, Kisaka, Mfalme mzee Yusuph,
  • Albamu bora ya mwaka kuna Visit Bongo ya Harmonize, Swahili Kid ya D Voice, 5 ya Abigail Chams, Most people want this ya Navy Kenzo, Flowers III ya Rayvanny,
  • Mtumbuizaji bora wa kiume wa mwaka kuna Diamon Platnumz, Alikiba, Harmonize, Christian Bella, Mbosso
  • Mtumbuizaji bora wa kike wa mwaka kuna Phina, Abigail Chams, Zuchu, Lolo da Princess
  • Mwimbaji bora wa kike wa mwaka kuna Zuchu, Nandy, Appy, Phina na Anjella
  • Video bora ya muziki wa mwaka kuna Maokoto ya Billnass na Marioo, Achii ya Diamond Platnumz na Koffi Olamide, Nani Remix ya Zucu na Innos B, Single again remix ya Harmonize, Sela ya Mbosso
  • Wimbo bora wa Bongo flava wa mwaka kuna Yatapita ya Diamond Platnumz, Baridi ya Jay Melody, Single Again ya Harmonize, Mahaba ya Alikiba, Honey ya Zuchu,
 
asante kwa taarifa

Katika kipengele cha Tanzania global icons award nimeshtuka kwa kutoliona jina aisha masaka
 
Hapo sawa.
Na utaratibu huo wa kupiga kura utafanyikaje

Ahsante.
Utaratibu wa kupiga kura sijafahamu bado ila nadhani ukitembelea instagram page yao unaweza kutana na link ianyokudirect moja kwa moja kwenye wavuti ukapige kura yako kwa umtakae
 
Back
Top Bottom