Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Nimeongeza tayari jina lako mkuu ingawa nahisi tayari ulikuwemo..
Ahsante kama nimo ila sijawahi kuliona maana hua nasoma majina yote yaliyo be tagged na wala sioni notification
 
Ahsante kama nimo ila sijawahi kuliona maana hua nasoma majina yote yaliyo be tagged na wala sioni notification
So sorry chief.. Akilini mwangu siku zote hizi huwa nadhani tayari upo kwenye taglist..

Vipi joanah alielekea kibla?? Au nipige simu kigoma??
 
Mkuu huwa husahau duu..
Nimeshafanikiwa robo tatu tu...
Sio mtu wa sport mkuu ananipa kalenda
That's good.! Hao wanaosumbua sumbua wakija kunasa ndio wanapenda mpaka urahisi uko peponi.. Shemeji yako Nifah alisumbua balaa.. Mpaka nilianza kukata tamaa

Ngoja nikuongezee nguvu kutoka ulimwengu mwingine.. Jioni napiga simu kigoma!
 
Shukrani mkuu umeniongezea kitu kichwani ngoja nikifanyie kazi.
 
Mzee wa liver umesahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…