Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
-
- #4,201
Huku ni kukosa ustaarabu kuliko pitiliza.. Kwanini unaquote post ndefu kiasi hicho.. Na kudhihirisha jinsi usivyo mstaarabu, eti unaandika kijineno "du".. Unajua unasababisha usumbufu kiasi gani kwa wanaotumua app kwenye simu??
Asante The Bold kwa kumuelimisha huyu jamaa kuna watu humu dah sijui niwaite lile jina maarufa kwa sasa linalotamba mjini kwa kupata fafafafa tu any way atakuwa ameelewaHuku ni kukosa ustaarabu kuliko pitiliza.. Kwanini unaquote post ndefu kiasi hicho.. Na kudhihirisha jinsi usivyo mstaarabu, eti unaandika kijineno "du".. Unajua unasababisha usumbufu kiasi gani kwa wanaotumua app kwenye simu??
Jifunze kuwa binadamu aliyestaarabika.. Futa hii comment uliyoweka
wew utakuwa umefoji cheti.. yaan unacopy uzi mzima ili iweje sasa
Umequote Uzi wote kuandika neno du ama kweli mabashite mko wengi
Asante sana mkuu Bold.Na Leo mida gani tukae mkao wa kula?Ndani ya lisaa inakuwa hewani..
Asante sana mkuu Bold.Na Leo mida gani tukae mkao wa kula?Ndani ya lisaa inakuwa hewani..
Mkuu ngoja niwahi hii nafasi mwakani ( Masaa machache yajayo ) nitarudi kusoma.
Heri ya mwaka mpya Members wote wa JF.
=========
Muhimu: Simulizi hii inaakisi namna ambavyo kila mmoja wetu anaguswa na mambo ya siri yanayofanywa na watu wenye nguvu na ushawishi. Pia simulizi hii inajitahidi kugusia ulimwengu wa hatari wa "conspiracies" na Ujasusi. Pia msimuliaji anaonyesha namna ambavyo nguvu ya mapenzi inaweza kuokoa nafsi ya mtu na kumfanya kuwa bora kwa wanomzunguka na nchi yake.
mkuu The Bold naomba unitag kiongozi wangu...!!!!
Kama yupo ban mwambieni aendelee kutupia kwenye website.Sisi tutaenda moja kwa moja huko!Nifah samahani nimeona kitu km BAN kwa The bold ni kweli? ya siku ngapi jamani.
Nifah mwambie Bold atupie kitu Kyle kwenye website wakati anatumikia Ban!Eeeeeh bwana eeeh? What a story?
Ni kama nilikuwa naangalia movie vile.
Mtiririko wa story ulio na maelezo ya kina kwa kila hatua umenivutia sana.
Siwezi kusubiri jumamosi...damn sipendi pressure za story kama hizi basi tu sina jinsi safari hii nimepatikana.
Story nzuri,kama kawaida hukosei honey
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mkuu ujeuri wa mtu usitukoseshe uhondo sio??hahahahaaaaaaa.....Nifah mwambie Bold atupie kitu Kyle kwenye website wakati anatumikia Ban!
Kwa kweli.Lakini ni kama vile hakuna mtu tena kwenye hii page!Mkuu ujeuri wa mtu usitukoseshe uhondo sio??hahahahaaaaaaa.....