Anashambulia sanaKwa mpira nao ona hapa saiz horoya can do anything here let's wait
Kwenda wapi?Horoya anafuzu
Hapana walipigwa yanga 2012Kumbe zile hamsa walipigwa Ihefu
😂😂Nimestaajabu huu uzi, ila ndiyo hivyo tena ukivurugwa, chochote unaona kinaweza kukupa faraja...
Tulieni madunduka hapo baadaye, sindano iwaingie vizuri...
Horoya hawa namba nyingine.