Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #61
35' Vipers 0-0 Horoya
Bado game haina amsha amsha imepia kiaina
Bado game haina amsha amsha imepia kiaina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaWanasimba tuongeze dua hii game vipers ashinde, saa moja tumdunge raja, group libalance
Wepesi sanaHata hawa Horoya wakija kwa Mkapa hawatoki
Hata hawa Horoya wakija kwa Mkapa hawatoki
Wanamfanya vipers aonekane bora, wepesi sanaHata hawa Horoya wakija kwa Mkapa hawatoki
Uwanja unao ruhusu watu chini ya elfu 20Vipers wameshindwa kujaza uwanja...Africa Mashariki hakuna kama Simba
Lakini viti havina watuUwanja unao ruhusu watu chini ya elfu 20
AhahaahhaaKocha wa Raja ni mate wangu tulisoma wote Lupaso sec. miaka mingi iliyopita. Huyu jamaa bwana ni mtu wa majivuni na mpenda sifa sana toka tukiwa shuleni. Ila kwa leo naona kavuka mstari eti ameniambia leo ataisambaratisha simba kama siyo wiki basi mkono.
Mimi nimembishia kwamba Raja hii hii iliyo nafasi ya 4 batola pro haiwezi mpiga mnyama wiki. Ila nimemwambia mkono inawezekana sana ikiwa watapitia kwa babu onyango
Sasa mpaka sasa Vipers wameonyesha ubora gani? Unatazama mechi kweli?Wanamfanya vipers aonekane bora, wepesi sana
HachomoiHT' Vipers 0-0 Horoya
Haya ngoja tuhamie kwa Arsenal tuone kama kachomoa
ZBC piaHii game itaonyeshwa kwenye king'amuzi cha AZAM?
2-2Hachomoi
Ukiwa linganisha na horoya, vipers wako better game wameitawala..Sasa mpaka sasa Vipers wameonyesha ubora gani? Unatazama mechi kweli?