Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Kwasababu imeuza wachezaji wengi Ulaya.Vipers imekuwa timu kubwa kwasababu ilikuchapa bao 2 ukiwa nyumbani?
Mimi ni shabiki tu kama wewe.Badala ujifunze ni vipi simba wanafanikiwa kuvuka hatua ya makundi wewe unashupaza mwiko kwa ishu za kipuuzi.
Na nyie si mlinunua wachezaji kutoka Ulaya kina Bigirimana?Kwasababu imeuza wachezaji wengi ulaya.
Nenda kwenye page za vipers.Wewe kumbe ndo vipers.
Zuwena fcMama ntilie mna tabu
Imeniuma sanaFadhila ni Karama...!
Utopolo mmekosa Fadhila...!
Mama Yake Fei Toto... !
Kweli ndio muwakusanye Watu Wa Sokoni Wale Ugali Kwa Sukari ili Mumdhihaki Mama.!
Bila Kujali mchango Wake? Mama Mzaa chema..!
Hata screen shot ungetuwekeaNenda kwenye page za vipers.
Hahaa zuwena fcOfficial account ya vipers[emoji23][emoji23]View attachment 2538907