Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Wakuu maajabu huwa hayaishi Bunju. Baada ya majina kadhaa kupita Msimbazi kama makolo FC, mbumbumbu FC, mikia FC.
Leo timu kubwa ya Uganda, Vipers sc kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii wamewapa jina jipya hawa ndugu zetu.
Jina ilo ni Zuwena fc.
Hapo vipi watani tuendelee na makolo au zuwena fc?
Leo timu kubwa ya Uganda, Vipers sc kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii wamewapa jina jipya hawa ndugu zetu.
Jina ilo ni Zuwena fc.
Hapo vipi watani tuendelee na makolo au zuwena fc?