Vipers SC waikejeli simba SC kwa kuiita zuwena fc

Vipers SC waikejeli simba SC kwa kuiita zuwena fc

Wakuu maajabu huwa hayaishi bunju. baada ya majina kadhaa kupita msimbazi kama makolo fc, mbumbumbu fc,mikia fc

leo timu kubwa ya uganda vipers sc kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii wamewapa jina jipya hawa ndugu zetu.

Jina ilo ni Zuwena fc.
Hapo vipi watani tuendelee na makolo au zuwena fc?
Haibadilishi kipigo chao kipo palepale
Utopolo msisahau kuwapokea airport
 
Wakuu maajabu huwa hayaishi bunju. baada ya majina kadhaa kupita msimbazi kama makolo fc, mbumbumbu fc,mikia fc

leo timu kubwa ya uganda vipers sc kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii wamewapa jina jipya hawa ndugu zetu.

Jina ilo ni Zuwena fc.
Hapo vipi watani tuendelee na makolo au zuwena fc?
Ila zuwena anafanana na Tuisila Kisinda
 
Iyo ndio Simba Zuwena sasa
Screenshot_20230302-214449.jpg
 
Fadhila ni Karama...!

Utopolo mmekosa Fadhila...!

Mama Yake Fei Toto... !

Kweli ndio muwakusanye Watu Wa Sokoni Wale Ugali Kwa Sukari ili Mumdhihaki Mama.!

Bila Kujali mchango Wake? Mama Mzaa chema..!
Kumbe kula ugali na sukari ni dhihaka! Ilikuwaje sasa huyo Fei Toto akala chakula cha dhihaka? Alikosa kweli hata hela tu ya kununulia kauzu, bamia, mchicha, au nyanya chungu, ili alie na ugali?
 
Back
Top Bottom