Huenda ikawa Al Hilal sio YangaMAZEMBE WANAENDA SHIRIKISHO UTOPOLO WANAENDA SHIRIKISHO KAZI IPO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Vipers alicheza nia vigogo gani?Mazembe alichagua vibonde wenzake kwenye mechi za kirafiki Zesco, Red Arrows na Azam wote wameaga mashindano.
Yanga alicheza na akina Green warriors sasa cjui itakuwaje.
Timu ikifunga bao moja kwako kidogo inakuwa shida kumtoa kwao. Mazembe hakufunga bao lolote pale kwa museven, shida ilianzia hapo
Kuna kaka MUARABU mwingine katupwa.makundi anaitwa js saoura.yanga ajiandae asje akaleta naye kisa Cha jins kaka muarabu js saoura alivyombadili jinsia yanga
Sent from my
Nasubiri wachambuzi uchwara waje na sababu za uongo uongo maana Mazembe kafanya pre season Zambia kacheza mechi za kutosha na kina Zesco, Azam na Red Arrows hao Vipers walikua kwao Uganda hawajaenda popote zaidi ya kuja kucheza bonanza na Yanga
ππππππHamtaniami ila Kolo kesho anamfuata tp mazembe
Mazembe "nje" kwa matuta 2 dhidi ya 4 za Vipers.
Na makucha yakeKumekucha
Kila mtu atakula alikopeleka mbogaMazembe wamefukuza kocha
yanga?Kila mtu atakula alikopeleka mboga
[emoji3][emoji2][emoji1]TO Mazembe siku hizi ni kama Man U au Liverpool tu! Hamna kitu limebaki jina tu!
Atakula avic town baada ya kurudi kupambana shirikisho na wakongo wenzake wazembe wa mazembeyanga?