Vipers siyo poa, kamng'oa Mazembe

Vipers siyo poa, kamng'oa Mazembe

Uzoefu wa soka la kisasa unaonyesha unaweza kushinda popote, nyumbani au ugenini na sio anayeshinda ugenini anafungwa nyumbani au anayedroo nyumbani lazima akashinde ugenini...timu zetu ziwekeze kwendana na viwango hivyo. Kila la heri watani wa jadi kesho nyote mtoboe kimataifa.
 
Falari wewe😁
Kuna kaka MUARABU mwingine katupwa.makundi anaitwa js saoura.yanga ajiandae asje akaleta naye kisa Cha jins kaka muarabu js saoura alivyombadili jinsia yanga

Sent from my


Falari wewe😁
 
Nasubiri wachambuzi uchwara waje na sababu za uongo uongo maana Mazembe kafanya pre season Zambia kacheza mechi za kutosha na kina Zesco, Azam na Red Arrows hao Vipers walikua kwao Uganda hawajaenda popote zaidi ya kuja kucheza bonanza na Yanga

Sio kweli mkuu vipers walienda pre season Rwanda [emoji1206]
 
Back
Top Bottom