Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazembe yamekuwa mazembeMazembe "nje" kwa matuta 2 dhidi ya 4 za Vipers.
Ndo maana shirikisho huwa sikupendi, maana wanakuwa washajeruhiwa.MAZEMBE WANAENDA SHIRIKISHO UTOPOLO WANAENDA SHIRIKISHO KAZI IPO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nani na nanimsimu huu kuna vigogo watatu awatoboi makundi.
Hamtaniami ila Kolo kesho anamfuata tp mazembeMAZEMBE WANAENDA SHIRIKISHO UTOPOLO WANAENDA SHIRIKISHO KAZI IPO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Uaminiwe wewe nani?. 24 years group stage. NI AIBU YA KIHISTORIAHamtaniami ila Kolo kesho anamfuata tp mazembe
Natamani sana iwe hivyo.!Huyo Vipers ngoja tupangwe naye kwenye makundi ajione mwenye bahati mbaya
Namsubri Esperence de Tunis.Nani na nani
Js soura alikua anacheza shirikisho na sio klabu bingwa .Kuna kaka MUARABU mwingine katupwa.makundi anaitwa js saoura.yanga ajiandae asje akaleta naye kisa Cha jins kaka muarabu js saoura alivyombadili jinsia yanga
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wachambuzi wengi hawajui mpira wana mawazo mgando kwamba lazima ushinde nyumbani.Nasubiri wachambuzi uchwara waje na sababu za uongo uongo maana Mazembe kafanya pre season Zambia kacheza mechi za kutosha na kina Zesco, Azam na Red Arrows hao Vipers walikua kwao Uganda hawajaenda popote zaidi ya kuja kucheza bonanza na Yanga
Mazembe alichagua vibonde wenzake kwenye mechi za kirafiki Zesco, Red Arrows na Azam wote wameaga mashindano.Nasubiri wachambuzi uchwara waje na sababu za uongo uongo maana Mazembe kafanya pre season Zambia kacheza mechi za kutosha na kina Zesco, Azam na Red Arrows hao Vipers walikua kwao Uganda hawajaenda popote zaidi ya kuja kucheza bonanza na Yanga
Huyo soura ameaga mashindano maana alikuwa kule shirikisho anakoelekea YangaKuna kaka MUARABU mwingine katupwa.makundi anaitwa js saoura.yanga ajiandae asje akaleta naye kisa Cha jins kaka muarabu js saoura alivyombadili jinsia yanga
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app