Vipers vs Simba ni game ngumu sana, Jumamosi Feb 25, 2023

Vipers vs Simba ni game ngumu sana, Jumamosi Feb 25, 2023

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Simba tuingalie mechi ya Vipers vs Horoya kazi ipo sana. Katikati ya kiwanja Horoya waliweka watu 5 na wamepata sare kwa hiyo St Mary, sio kitu rahisi kwa Simba tujiandaeee.

Saidio na Chama kucheza pamoja ni kansa kwetu, lifanyiwe kazi
 
Tusiposhinda Uganda safari imeishaa
 
Vipers wanategemea zaidi safu yao ya ulinzi. Kwenye ushambuliaji wana tatizo la kuwa na ukame wa mabao
 
Simba mwaka huu hatuna chetu tunaenda kukamilisha ratiba tu.! Tuanze na kupunguza wazee kwny timu na kusajiri wachezaji wa viwango sio kina Kibu, Kiyombo na Kapama
 
Back
Top Bottom