Simba tuingalie mechi ya Vipers vs Horoya kazi ipo sana. Katikati ya kiwanja Horoya waliweka watu 5 na wamepata sare kwa hiyo St Mary, sio kitu rahisi kwa Simba tujiandaeee.
Saidio na Chama kucheza pamoja ni kansa kwetu, lifanyiwe kazi
Simba mwaka huu hatuna chetu tunaenda kukamilisha ratiba tu.! Tuanze na kupunguza wazee kwny timu na kusajiri wachezaji wa viwango sio kina Kibu, Kiyombo na Kapama