VIPERS WALITARAJIA WANAKUJA KUCHEZA NA SIMBA TANZANIA NA SIO YANGA!

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Wajumbe mnajua kabisa Yanga ni timu isiyofahamika Africa ila Tanzania ndo inajulikana sana na wanajiita Mabingwa wa khistoria.... kiukweli Vipers wangefurahi sana kucheza na Simba SC Tanzania na sio timu kama Yanga ambayo hata robo fainili Caf hawaijui!

Kinachoibeba Simba ni uzoefu wa kimataifa hata kama akiwa na timu mbovu.... kwani msimu yliopita tuliona hata kama hawakuwa bora ila walivuka makundi Caf!
Mwaisaaa hii Yanga hata iwe nawachezaji bora bado uzoefu unawauwaa!
Ila jana nipenda kombinesheni ya AZIZA, JOYCE NA MWANALISA walivyokuwa wanavurugana wenyewe kwa wenyewe!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Waganda wanaijua vizuri sana Yanga. Miaka ya nyuma walikuwa wanasafirikutoka kwao kuja kuishabikia Yanga inacheza. Kuwa na historia hiyo
 
Hahahahaha ngoja manyani vinyesi waje
 
Wajumbe mnajua kabisa Yanga ni timu isiyofahamika Africa ila Tanzania ndo inajulikana sana na wanajiita Mabingwa wa khistoria.... kiukweli Vipers wangefurahi sana kucheza na Simba SC Tanzania na sio timu kama Yanga ambayo hata robo fainili Caf hawaijui!

Kinachoibeba Simba ni uzoefu wa kimataifa hata kama akiwa na timu mbovu.... kwani msimu yliopita tuliona hata kama hawakuwa bora ila walivuka makundi Caf!
Mwaisaaa hii Yanga hata iwe nawachezaji bora bado uzoefu unawauwaa!
Ila jana nipenda kombinesheni ya AZIZA, JOYCE NA MWANALISA walivyokuwa wanavurugana wenyewe kwa wenyewe!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ujauzito una mambo
 
Back
Top Bottom