Vipers yamtimua kocha Beto Bianchi

Vipers yamtimua kocha Beto Bianchi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1678367326597.png

Vipers SC ya Uganda imetangaza kusitisha mkataba wa kocha mkuu, Beto Bianchi. Raia huyo wa Brazil alianza kuifundisha Vipers Januari 2023 akichukua nafasi ya Roberto Oliviera aliyejiunga Simba SC.
===

Vipers Sports Club announces that the contract of head Coach Beto Bianchi has been terminated with immediate effect.

The club would like to thank Bianchi for his tireless efforts during his time at the club and wish him success in his future endeavours.
 
Simba imeshafukuzisha makocha wengi. Hata Nabi alifukuzwa El Mereikh baada ya kupokea kichapo cha Simba
Kafukuzwa sababu ya mwenendo mbaya wa timu tokea aichukue timu, timu haikuwahi kupachika goli wavuni, achana na kushinda mechi
 
Kocha hana hata miezi mitatu. Simba ndiyo waliivuruga Vipers kwa kumchomoa Robertinho na kutaka kumsajili Manzoki. Ule umafia ulikuwa wa kumvuruga mpinzani. Waarabu ndiyo zao hizo, wanachukua wachezaji tishia wanaenda kuwakalisha benchi, mission complete.
 
Vipers SC ya Uganda imetangaza kusitisha mkataba wa kocha mkuu, Beto Bianchi. Raia huyo wa Brazil alianza kuifundisha Vipers Januari 2023 akichukua nafasi ya Roberto Oliviera aliyejiunga Simba SC.
===

Vipers Sports Club announces that the contract of head Coach Beto Bianchi has been terminated with immediate effect.

The club would like to thank Bianchi for his tireless efforts during his time at the club and wish him success in his future endeavours.
Siyo mbaya kabakisha mechi mbili,labda Vipers wanaweza Fanya jambo
 
Kocha hana hata miezi mitatu. Simba ndiyo waliivuruga Vipers kwa kumchomoa Robertinho na kutaka kumsajili Manzoki. Ule umafia ulikuwa wa kumvuruga mpinzani. Waarabu ndiyo zao hizo, wanachukua wachezaji tishia wanaenda kuwakalisha benchi, mission complete.
Kama Al Ahly walivyomnyofoa Mquissone
 
Kocha hana hata miezi mitatu. Simba ndiyo waliivuruga Vipers kwa kumchomoa Robertinho na kutaka kumsajili Manzoki. Ule umafia ulikuwa wa kumvuruga mpinzani. Waarabu ndiyo zao hizo, wanachukua wachezaji tishia wanaenda kuwakalisha benchi, mission complete.
Ishu ya Manzoki ilikuwa kabla hata droo ya Simba na Vipers kupangwa kundi moja. Manzoki kasajiliwa China tokea mwezi wa nane huko.
 
Exactly. Simba plan yao mpaka sasa kwenye CL iko 100% walishajihakikishia point 6 za Vipers baada ya kumnyofoa Robertinho, walikuwa wanahitaji ushindi wa game moja tu na Horoya na ndicho wanasubiria.

Mipango ndugu yangu, mipango 🤣😂🤣
All the best kwenu
 
Back
Top Bottom