SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Simba na Yanga zote zikivuka itakuwa ni jambo jema kwa mpira wetu. Upinzani wa kimpira wa timu hizi mbili ukifanywa bila mambo ya hovyo na uharibifu ni jambo zuri. Natamani hata siasa zetu zingekuwa na ushindani kama huu, nchi ingesonga mbele kwa kasi zaidi. Anyway, tuachane na siasa!
All the best kwenu