Kafukuzwa sababu ya mwenendo mbaya wa timu tokea aichukue timu, timu haikuwahi kupachika goli wavuni, achana na kushinda mechiSimba imeshafukuzisha makocha wengi. Hata Nabi alifukuzwa El Mereikh baada ya kupokea kichapo cha Simba
Unafikiri angepata point 6 kwa simba angefukuzwa?Kafukuzwa sababu ya mwenendo mbaya wa timu tokea aichukue timu, timu haikuwahi kupachika goli wavuni, achana na kushinda mechi
zikiwemo mbili za Simba mfululizoKafukuzwa sababu ya mwenendo mbaya wa timu tokea aichukue timu, timu haikuwahi kupachika goli wavuni, achana na kushinda mechi
Simba ishafukuza wa kwake wangapi ?Simba imeshafukuzisha makocha wengi. Hata Nabi alifukuzwa El Mereikh baada ya kupokea kichapo cha Simba
Wengi tu, kwa kuwa imezoea kufika robo fainali na wao hawaifikishi nusu fainali ya CAF CL
Siyo mbaya kabakisha mechi mbili,labda Vipers wanaweza Fanya jambo
Vipers SC ya Uganda imetangaza kusitisha mkataba wa kocha mkuu, Beto Bianchi. Raia huyo wa Brazil alianza kuifundisha Vipers Januari 2023 akichukua nafasi ya Roberto Oliviera aliyejiunga Simba SC.
===
Vipers Sports Club announces that the contract of head Coach Beto Bianchi has been terminated with immediate effect.
The club would like to thank Bianchi for his tireless efforts during his time at the club and wish him success in his future endeavours.
Kama Al Ahly walivyomnyofoa MquissoneKocha hana hata miezi mitatu. Simba ndiyo waliivuruga Vipers kwa kumchomoa Robertinho na kutaka kumsajili Manzoki. Ule umafia ulikuwa wa kumvuruga mpinzani. Waarabu ndiyo zao hizo, wanachukua wachezaji tishia wanaenda kuwakalisha benchi, mission complete.
Ila kaja Yanga full kuwanyoosheni nyie,na mechi yetu iliyobaki ya Ligi lazima tuwanyoosheSimba imeshafukuzisha makocha wengi. Hata Nabi alifukuzwa El Mereikh baada ya kupokea kichapo cha Simba
Ishu ya Manzoki ilikuwa kabla hata droo ya Simba na Vipers kupangwa kundi moja. Manzoki kasajiliwa China tokea mwezi wa nane huko.Kocha hana hata miezi mitatu. Simba ndiyo waliivuruga Vipers kwa kumchomoa Robertinho na kutaka kumsajili Manzoki. Ule umafia ulikuwa wa kumvuruga mpinzani. Waarabu ndiyo zao hizo, wanachukua wachezaji tishia wanaenda kuwakalisha benchi, mission complete.
Exactly. Simba plan yao mpaka sasa kwenye CL iko 100% walishajihakikishia point 6 za Vipers baada ya kumnyofoa Robertinho, walikuwa wanahitaji ushindi wa game moja tu na Horoya na ndicho wanasubiria.Kama Al Ahly walivyomnyofoa Mquissone
Ok sawaIshu ya Manzoki ilikuwa kabla hata droo ya Simba na Vipers kupangwa kundi moja. Manzoki kasajiliwa China tokea mwezi wa nane huko.
All the best kwenuExactly. Simba plan yao mpaka sasa kwenye CL iko 100% walishajihakikishia point 6 za Vipers baada ya kumnyofoa Robertinho, walikuwa wanahitaji ushindi wa game moja tu na Horoya na ndicho wanasubiria.
Mipango ndugu yangu, mipango 🤣😂🤣