All the best kwenu
Gomez+Pablo +Zorah+ Matola + Mgunda+ Robarto= NabiSimba imeshafukuzisha makocha wengi. Hata Nabi alifukuzwa El Mereikh baada ya kupokea kichapo cha Simba
Kwahiyo simba walivyomtoa huyo kocha makundi yalikuwa yashapangwa?Exactly. Simba plan yao mpaka sasa kwenye CL iko 100% walishajihakikishia point 6 za Vipers baada ya kumnyofoa Robertinho, walikuwa wanahitaji ushindi wa game moja tu na Horoya na ndicho wanasubiria.
Mipango ndugu yangu, mipango 🤣😂🤣
Kumbukumbu zangu zinaniambia ilikuwa baada ila kama ilikuwa kabla natengua kauliKwahiyo simba walivyomtoa huyo kocha makundi yalikuwa yashapangwa?
Umeongea jambo sahihi kabisa. Vipi na yeye Nabi sasa tangu alipo hamia Yanga! Ameshawafukuzisha makocha wenu wangapi?Simba imeshafukuzisha makocha wengi. Hata Nabi alifukuzwa El Mereikh baada ya kupokea kichapo cha Simba
CEO Barbara naye aliikimbia ofisi!! Msemaji wao Haji Manara aliomba mwenyewe usajili, na kuhamia kwa Wananchi!Gomez+Pablo +Zorah+ Matola + Mgunda+ Robarto= Nabi
Makocha wote walioondoka Simba ni kwa kushindwa either kuingia katika makundi ya Klabu Bingwa au kushindwa kuingia nusu fainali ya CAF clubs competitions. Hakuna kocha aliyeondolewa Simba sababu ya mechi ya Yanga, maana mechi za Simba na Yanga ni za ligi ya NBC maana kule Afrika Yanga ilikuwa haishiriki au inatolewa mapema raundi ya awali, na mechi nyingi za Simba na Yanga zimeishia sare. Tangu Nabi amekuja, ameishinda Simba mara mbili (ngao na AzamSFC), Simba imemfunga mara moja (Kigoma), za ligi zote wametoka sareUmeongea jambo sahihi kabisa. Vipi na yeye Nabi sasa tangu alipo hamia Yanga! Ameshawafukuzisha makocha wenu wangapi?
Amewafunga mara ngapi? Mlishawahi kumfunga? Vipi kuhusu ubingwa wa ligi kuu; ameshachukua mara ngapi?
Pablo ? Zoran?Makocha wote walioondoka Simba ni kwa kushindwa either kuingia katika makundi ya Klabu Bingwa au kushindwa kuingia nusu fainali ya CAF clubs competitions. Hakuna kocha aliyeondolewa Simba sababu ya mechi ya Yanga, maana mechi za Simba na Yanga ni za ligi ya NBC maana kule Afrika Yanga ilikuwa haishiriki au inatolewa mapema raundi ya awali, na mechi nyingi za Simba na Yanga zimeishia sare. Tangu Nabi amekuja, ameishinda Simba mara mbili (ngao na AzamSFC), Simba imemfunga mara moja (Kigoma), za ligi zote wametoka sare
mechi ya mwisho ya Pablo ilikua ipi?Pablo alitimuliwa baada ya ligi kumalizika bila ubingwa. Zoran yeye hakutimuliwa, ila aliiacha Simba baada ya kupata ofa nono kutoka Al Ittihad ya Misri. Hizo events zote hazina uhusiano na mechi ya Simba vs Yanga
Sikumbuki, ila najua mechi za Simba na Yanga kwa misimu ya hivi karibuni zimekuwa zikipangwa mwanzoni mwa mizunguko, na huyo aliondoka mwishoni mwa msimu baada ya kukosa ubingwamechi ya mwisho ya Pablo ilikua ipi?