vipi ajira za ualimu mwaka kesho(2015/2016)

vipi ajira za ualimu mwaka kesho(2015/2016)

Ryio

Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
80
Reaction score
11
mweny uzoef au taarif za uhakika juu ya hili atujuze sis ambao tunategemea ajira hapo mwakn.
Au ndo kusema walim walopelekwa vijijn wameondoa tatz la uhaba wa walimu??
pliz mweny jbu la uhakika karb na so assumptions.™
N.B (kwa masomo ya arts namaanisha).
 
Nasikia kuna vyuo wameshajaza fomu za ajira (ingawa kujaza sio kupata)- 2subiri mkuu, watatuchukua tu
 
Ajira Zitakuwepo. Ila Kauli Ya JK juzi "SERIKALI HATUNA MPANGO WA KUAJIRI TENA, TAFUTEN KWENYE MASHIRIKA BINAFSI AU MJIAJIRI"" Inanivunja moyo.
 
Ajira Zitakuwepo. Ila Kauli Ya JK juzi "SERIKALI HATUNA MPANGO WA KUAJIRI TENA, TAFUTEN KWENYE MASHIRIKA BINAFSI AU MJIAJIRI"" Inanivunja moyo.

secta zitakazokubwa na hlo tatz hat ualimu?
coz cjajua km kwl walm ndo wamejaa tyr vjijn coz so kaz rahs kujaz mar moj tofaut na ilvyo mijin kw sas
 
secta zitakazokubwa na hlo tatz hat ualimu?
coz cjajua km kwl walm ndo wamejaa tyr vjijn coz so kaz rahs kujaz mar moj tofaut na ilvyo mijin kw sas

Sory ndugu, tunasoma wengi sana ulichokiandika so jaribu kuandika vizuri tupate kitu from u!!
 
secta zitakazokubwa na hlo tatz hat ualimu?
coz cjajua km kwl walm ndo wamejaa tyr vjijn coz so kaz rahs kujaz mar moj tofaut na ilvyo mijin kw sas [/QUOTE]

Kweli kama wewe ni mwalimu,basi kutakuwa na shida mahali,jitazame upya kabla hujafikiria hata hizo ajira zenyewe,itakusaidia.
 
secta zitakazokubwa na hlo tatz hat ualimu?
coz cjajua km kwl walm ndo wamejaa tyr vjijn coz so kaz rahs kujaz mar moj tofaut na ilvyo mijin kw sas[/QUOTE]

Kweli kama wewe ni mwalimu,basi kutakuwa na shida mahali,jitazame upya kabla hujafikiria hata hizo ajira zenyewe,itakusaidia.

sante kw ushaur mkuu
 
sante kw ushaur mkuu
Sawa,sasa kama unakubaliana na ushauri wangu basi ungeonyesha kwa vitendo.Mfano;sante=asante,kw=kwa,ushaur=ushauri.
Mapungufu haya si madogo ni makubwa kwa mtu kama wewe.Ni hayo tu mkuu!
 
Back
Top Bottom