vipi ajira za ualimu mwaka kesho(2015/2016)

vipi ajira za ualimu mwaka kesho(2015/2016)

Waalimu bado wanahitajika sana Tanzania vijijini,kuna shule kubwa za kata zina walimu wawili au watatu tu.
 
ajira kwa sasa ni ngumu na kuna baadhi walioitimu mwaka jana tena sayansi lkn wameachwa cjui kwanini
 
mweny uzoef au taarif za uhakika juu ya hili atujuze sis ambao tunategemea ajira hapo mwakn.
Au ndo kusema walim walopelekwa vijijn wameondoa tatz la uhaba wa walimu??
pliz mweny jbu la uhakika karb na so assumptions.™
N.B (kwa masomo ya arts namaanisha).

hakuna ajira za walimu wa sanaa na biashara kwa mwaka 2015/2016. kwa wale tunaotegemea kufanaya UE mwezi ujao, kiinua mgongo tutakacho pata mwezi huu tukitumie vizuri maana kitakusaidia kufanya business, then pesa ya vocha hutakuwa unaikosa mkuu. huo ndio ushauri wangu
 
Sawa,sasa kama unakubaliana na ushauri wangu basi ungeonyesha kwa vitendo.Mfano;sante=asante,kw=kwa,ushaur=ushauri.
Mapungufu haya si madogo ni makubwa kwa mtu kama wewe.Ni hayo tu mkuu!

duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh
 
Back
Top Bottom