Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
45' wewe ni mpenzi wa soka kweli?Kama kichwa kinvyoeleza hapo juu huyu guru wa kutetema hapa bongo vp anaendelea alipoishia au?
Ila yanga siku walizotumia kufanya press conference kwa mwaka huu n nyingi kuliko mazoez ya wachezaji
Ndio madhara ya kuwekeza mdomoni kuliko uwanjani
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kbsa simba atapigwa kuanzia tarehe23 had makundi yanaisha tusubiri tuoneSisi tunamsubiria simba tar 23 tujipigie ndo walichobakisha hicho na kupokea wageni
Ndo mtaingia makundi?Ujui mpira tulia ,tarehe 23 siyo mbali utampenda buree
[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]daahhhNYIE KUMBE TIMU ZINATOLEWA CAF ZINAENDA SHIRIKISHO ZINAPIGWA VIBOKO NA FAINI JUU [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]