Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, huyu guru wa kutetema hapa Bongo vipi anaendelea alipoishia au? Ila yanga siku walizotumia kufanya press conference kwa mwaka huu ni nyingi kuliko mazoezi ya wachezaji!
Ndiyo madhara ya kuwekeza mdomoni kuliko uwanjani.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ndiyo madhara ya kuwekeza mdomoni kuliko uwanjani.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app