Vipi CHADEMA mna hali gani huko baada ya kifo cha Magufuli? Akina Halima Mdee wamefukuzwa ubunge? Tundu Lissu na Lema wamerudi Tanzania?

Chadema ni chama cha wachaga, mchaga akishaona pesa anasahau kila kitu alichokisema jana. Mnakumbuka lowassa alipokuja na mamilioni yake pale wakampa ugombea bila utaratibu wa chama
kwa hio wachaga mliowapachika ubunge huko lumumba ni wapumbavu, ndio maana ccm huwa nawaita mapoyoyo.
 

Ili mradi dhalimu yuko motoni, tuko poa sana.
 
Una hoja nzuri lakini umeiwasilisha kipashkuna sana.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Walau watu waliobambikiziwa kesi walau wanaachiwa huru
 
Leo nimebishana na jitu fkn HV la CDM kuhusu magufuli kanikera Yule jmaa

Nikamuuliza kwani sas Hali Ni mbaya nyinyi mlishangilia magu kaondoka sas mnaliliakila saa nin shida
 
Nilitamani sana kuuona ushahidi huu hapa JF,asante sana ndugu kwa kuuleta Mungu akubariki na akupe maisha yaliyonyooka!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama mama atabuyanga vipi bado haiwezekani mtu mwenye akili kumkumbuka Magu.
👉Magu aliua
👉Magu alitesa watu
👉Magu alibagua jamii
👉Magu alikuwa na double standard
👉Magu alipendelea
👉Magu alileta ukabila
👉Magu alivunja sheria na katiba
👉Magu alijenga hofu katika jamii
👉Magu alijivika utukufu wa Mungu na kadhalika.
 

Una roho ya kishetani. Wewe unawaza CHADEMA tu?. Huwazi matatizo ya wananchi. Bunge lote CCM , Halmashauri zote CCM na vijiji na mitaa ni CCM Sasa wewe unataka nini?. CHADEMA wamewaachia nchi ila bado mnasumbuka mgao maji, umeme, mfumuko wa Bei, too , ajira. Hebu achana na chadema.
 

Ila nacho shukuru yule katili na shetani alipata anachostahili kwa roho mbaya aliyokuwanayo.
 
CCM ni ile ile.
 

Cha kujiuliza ni kuna nini Maguguli amekipata kwa kutumia nguvu kuwa nyanyasa wafanyabiashara, ukabila na kuchukuwa mali za watu? Chadema ni chama sio mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…