Vipi hapa Rafiki yetu Msema Ukweli yuko sahihi au leo kakosea?

Vipi hapa Rafiki yetu Msema Ukweli yuko sahihi au leo kakosea?

Yupo sahihi.
Nimehusika mara2 kwenda kufuata vitu Kwa masela wenzangu Tena Huwa tunagawana hata kabla hatujavichukua.
Wewe P Utachukua Simu
Wewe J utapita na godoro
Halafu muhusika anabaki na mazagazaga kama saa mikoba nk simple tu
 
Back
Top Bottom