Vipi Hapa....?

Vipi Hapa....?

Tugutuke

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
501
Reaction score
166
Habari wana JF.
Naomba nidadavuliwe kuhusu hili.
Hivi wale wanaosikika kwenye Muvi za Yesu Kristu ambao wametafsiri lugha na kutamka maneno yaliyotamkwa na Yesu kwa Kiswahili ni wa Tz au?.. Maana sijawahi kujua ni nani hasa aliyetafsiri kanda ya Yesu. Kuna sauti mbili ya Kiume na Kike,na wako wapi hawa jamaa? Mwenye uhakika plz,let me know.
 
Back
Top Bottom