Vipi haya yatokee nyumbani kwako utafanya nini?

Bukayo jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
2,782
Reaction score
1,641
1. Chukulia wewe ni baba enzi zako za ujanani ulizaa binti na baadae ukaoa mwanamke mwingine na mmezaa watoto wakubwa sasa..sasa huyu binti nae mnaishi nae hapo nyumbani..sasa basi unagundua ni mjamzito na katika kumbana sana anamtaja mwanao wa kiume ndo responsible utachukua uamuzi gani?
2. Mama umetoka kazini mchana na si kawaida yako(may be hujisikii vizuri) unakuta nyumba milango wazi unakwenda chumba cha Beki tatu unafika na kufungua unamkuta mtoto wako wa kumzaa yuko kifuani mwa beki 3 utafanya nini
3.mama na baba huwa mnalala mapema sasa watoto hubaki wakitizama tamthilia sasa mama umeamka usiku mrefu kwenda short call unaona mwanga sebureni unakuwa curious unanyata ukamtandike mwanao vibao maana kesho shule unamkuta amei mute TV amejisahau anacheki ponographic movie utachukua uamuzi gani??


Nawasilisha!
 
mie ntafurahi. Kwa sabab itaonekana atakuwa mume bora {haend mbali).atakuwa anazungukia home tu akioa, tatu Nataman jogoo wake anawika
 
mie ntafurahi. Kwa sabab itaonekana atakuwa mume bora {haend mbali).atakuwa anazungukia home tu akioa, tatu Nataman jogoo wake anawika

hata kwa huyo mwanao? Na katoto we utakaita mjukuu? Alafu vp kama beki 3 ni mwathirika na uko aware ila wamsaidia kuishi nae hapo?
 
Ah mwenyezi mungu atunusuru na asituonyeshe hayo hata kwa adui zetu....
 
Ah mwenyezi mungu atunusuru na asituonyeshe hayo hata kwa adui zetu....

kuna baba mmoja huko same ameokoka(mzee wa kanisa) mwanae alimtia aibu kumpa mimba binti aliemzaa enzi ujanani..aibu ilikuwa kubwa na fedheha lakini aliwasemehe wote
 
Mambo mengine wala co ya kufikirika!!

kwani watoto wa kiume hawawachukui mabeki 3? Haya yanatokea sana ulimwengu umefikia pabaya ila swali ni je we ungalifanya uamuzi gani?
 
hiyo yakwanza...ntakuwa sijawalea hao wanangu kwa maadili ya kuheshimiana na kupendana ki agape,upendo wa dada na kakaa,ikishatokea halii hiyo itabili nifanye mpango tu fanye abortion.[japo abortion is sin and crime],ya pili kwa vilee mimi ni baba na sio mamaa inategemeaa maamuzi ya mama akijaa kuniambia mke wangu,ntamwambia na wewe ulienda kufanya nini chumbani kwa binti.jifanye ujaonaa. tatu...pia jibu linatokana na mama ila kama ingekuwaa ni mimi baba ndo nimemuona mwanangu wa kiume ana watch porn ningejifanya sijaona kimya na ondoka,nakuwa na mpaa uhuru akajisavie njee asije kuji chua daily[na kumpa elimu rika],tatizo ni kwa wa kike kama umemuona yeye ndo ana watch porn,ninge jifanya pia sijaona ni mwambie mama akee akae nae ampe elimu rikaaa.
 
haya mambo yapo na yanatokea si yakufikirika ila usimbe yatokee kwa nyumba yako
 

kaka ilo la abortion kazi ipo hujui ni maximum risk? Na ukijikausha mwanao yuko na uhusiano na beki 3 unadhani unajenga unabomoa? Na kumwona mwanao anatizama porn ukauchuna unaua bendi bro hataacha huyo kuziangalia itafikia wataweka mchana
 
haya mambo yapo na yanatokea si yakufikirika ila usimbe yatokee kwa nyumba yako

kweli kabisa! Hasa haya mawili ya chini wengi humfukuza beki 3 kimya kimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…