Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,641
1. Chukulia wewe ni baba enzi zako za ujanani ulizaa binti na baadae ukaoa mwanamke mwingine na mmezaa watoto wakubwa sasa..sasa huyu binti nae mnaishi nae hapo nyumbani..sasa basi unagundua ni mjamzito na katika kumbana sana anamtaja mwanao wa kiume ndo responsible utachukua uamuzi gani?
2. Mama umetoka kazini mchana na si kawaida yako(may be hujisikii vizuri) unakuta nyumba milango wazi unakwenda chumba cha Beki tatu unafika na kufungua unamkuta mtoto wako wa kumzaa yuko kifuani mwa beki 3 utafanya nini
3.mama na baba huwa mnalala mapema sasa watoto hubaki wakitizama tamthilia sasa mama umeamka usiku mrefu kwenda short call unaona mwanga sebureni unakuwa curious unanyata ukamtandike mwanao vibao maana kesho shule unamkuta amei mute TV amejisahau anacheki ponographic movie utachukua uamuzi gani??
Nawasilisha!