Vipi hili tangazo lingekuwa kwa Kiswahili pale Posta Mpya

dah!

liko wapi hili bango kwa tz hapa?

au mamtoni walikojipindia?
 
Hiyo ni lugha chafu, haitakiwi kwenye jamii! That is offensive.
 
full mipasho ya ki-ulaya ulaya 😀
 
Hiyo ni lugha chafu, haitakiwi kwenye jamii! That is offensive.

Andre alikuwa fed up na polite statements kama Please............. amabazo watu wamekuwa hawazifuati! Kwa akili yake akaona atumie maneno makali kufikisha ujumbe!
 
Aaa wap hilo tangazo ndo linawafaa hasa wahuni wahuni wote we unadhani kila mtu ni mstaarabu ndo maana ameandika uncivilized au hukusoma????
 
WanaJF kwa kushabikia upuuzi sasa hata hii mnashabikia nini ila sishangai maana waTZ ndio tulivyo mambo ya msingi huwa hatufanyi ila ya kipuuzi ndio tunakomalia inabidi tubadilike.
 
Tangazo bomba kweli. Hili linafaa kuwa pale manzese au mitaa ya vingunguti kwetu
...Tena nadhani wakilitafsiri liwe kwenye kiswahili halafu unaweka kuanzia magomeni mapipa, mwembe chai, manzese hata pale mwenge kuna watu wanatupa uchafu sielewi kama kwenye vichwa vyao kuko sawa au vipi?
 
Mimi siamini kama liko Tanzania, naona mtu kalitengeneza tuu ili kufurahisha kilinge....Tangazo gani hilo?
 
Mzizi haliko bongo; ila kama lingekuwako...............
 
Hahahaaaaaaaaa......hakuna Tangazo kama hili laweza wekwa mahala pa wastaarabu
 
Masikini Jeuri where did u get this????? Its really funny.....i like though....
 
LOL!,
Andre needs a chill pill
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…