Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,579
Tanzanian we are used to politely statements. Command statement like this one will never be accepted by our society
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni lugha chafu, haitakiwi kwenye jamii! That is offensive.
Aaa wap hilo tangazo ndo linawafaa hasa wahuni wahuni wote we unadhani kila mtu ni mstaarabu ndo maana ameandika uncivilized au hukusoma????Aliyeandika tangazo ni mjinga kama tangazo lilivyo la kijinga. Wala halitakiwi popote katika dunia hii ya wastaarabu. Wala hatuhitaji kumfahamu wala kumuona huyo aliyeandika this damn things. He better goes to hell na watu watatupa tu taka pale maana aliyoandika yeye ni taka.
...Tena nadhani wakilitafsiri liwe kwenye kiswahili halafu unaweka kuanzia magomeni mapipa, mwembe chai, manzese hata pale mwenge kuna watu wanatupa uchafu sielewi kama kwenye vichwa vyao kuko sawa au vipi?Tangazo bomba kweli. Hili linafaa kuwa pale manzese au mitaa ya vingunguti kwetu