ANKO THOBIAS
Member
- Sep 16, 2013
- 21
- 0
Kama kuna m2 mwenye uelewa kuhusu kugawiwa kwa BOOM ni ln
maana wa2 wanahaha hasa waliowahi kufungulia vyuo kama mwenge
maana wa2 wanahaha hasa waliowahi kufungulia vyuo kama mwenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna m2 mwenye uelewa kuhusu kugawiwa kwa BOOM ni ln
maana wa2 wanahaha hasa waliowahi kufungulia vyuo kama mwenge
Wenzio tuna mwezi wa pili sasa tunaishi bila boom hapa SAUT.
Komaa bana ipo siku litatoka.
Napita...
Lakini sisi enzi zetu tulikuwa tofauti kidogo...
Tulikuwa tunaulizana maswali ya aina hii;
Mtihani lini?
Mbona assignment imechelewa?
Presentation zimeadimika?