JM Kavulla
Senior Member
- Mar 16, 2018
- 176
- 169
Wako wapi sasa? Kati ya Spurs na Real Madrid nani ambaye bado yuko kwenye European Champion LegueWale Spurs wanatokea Ugiriki??
Kama madrid nusu fainali hatopangiwa barca basi atafika fainali,,,liva hana uwezo wakumfunga yoyote kati ya madrid,barca au munich
Mimi nakuambia haiwezekan...na nilijua liva atavuka round hii,,na pesa nilimwekea kabisa,ila hapa ndio mwisho wake hana pakwenda tenaKt watu ambao hawajui mpira duniani wew ndo mmoja wapo.. hakuna neno "haiwezekani" kwenye mpira unaowakutanisha timu zilizo kwenye rank moja, uliamini city atakufa 3 bila? Uliamini Seville atamtoa man u ugenini?? Je spurs kumpiga 3 Chelsea nyumban?? Unakumbuka 2005 ucl final?? Usichambua mpira kwa kuangalia wew una mapenz na timu gani, au timu gani humpendi.. football is a science, ni mchezo wa mbinu.. mbinu zikiwin against timu pinzani unampiga km mtoto.. na ndo maana man u alimpiga arsenal goli 8..
Liverpool imewahi kumtoa Madrid lakin pia imewahi kumtoa Barcelona kwenye UCL tena ya dinhoHakuna timu ya Uingereza ambayo inaweza kuitambia Real Madrid, kwa vyovyote vile wakikutana Real Madrid lazma abebe ndoo
We jamaa bhana.. mbongo halisi..Mimi nakuambia haiwezekan...na nilijua liva atavuka round hii,,na pesa nilimwekea kabisa,ila hapa ndio mwisho wake hana pakwenda tena
Kwani iliandikwa nani amesonga mbele au ni thread ilisema hakuna team uingereza ya kuitetemesha madrid?? Weka hoja kutokana na kilichoandikwa co kwa kutengneza swali jipyaWako wapi sasa? Kati ya Spurs na Real Madrid nani ambaye bado yuko kwenye European Champion Legue
Tusubiri tuone Mkuu...!Laliga ya msimu huu pale bernabeu kwa perez Madrid alioga goals ngapi?
Tusubiri tuoneMadrid kws barca huwa anatepweta,hata barca awe mbovu kias gan
Hapo ni sawa na kumpambanisha sisimizi na tembo.Ndg washabiki wa mpira hasahasa wa timu za ulaya,jana tumeshuhudia kiwango bora kbs cha timu ya liverpool ikiitafuna man site bao 3 kw nunge,hebu tuchangie maoni yetu,liverpool ikikutana na Realmadrid,je nani atabeba kombe?
Nimecheka kweli kweli( in Magu voice)Yan wewe ndo hewa kabisaaa hujui mpira
R.Madrid dawa yao IPO jikoni.Pole
Ona mpuuzi mwingine huyu anayetabiri mpira kabla hujachezwaLiverfools nao wameanza kelele kama mashabiki wa Manure Fc na Chelshits
Inabidi wapangwa na Fc Barcelona ili kuwapa mnyooosho kama wenzao
Afu watu wanajiuliza hii ya Messi kama haifungikiLiverpool imewahi kumtoa Madrid lakin pia imewahi kumtoa Barcelona kwenye UCL tena ya dinho
Kwani kabla ya hiyo game ya tatu bila ilikuwaje mkuu.au kipimo chako wewe ni hiyo game pekee...Defence mbovu kiaje ikiwa game ya mwisho barca alimpiga Madrid 3-0
Barca ni unbeaten mpaka sasa in Europe sasa huo ubovu wa beki unatoka wapi?
Bado tu haijaiva au...R.
R.Madrid dawa yao IPO jikoni.
Afu watu wanajiuliza hii ya Messi kama haifungiki
Ona mpuuzi mwingine huyu anayetabiri mpira kabla hujachezwa