Yan wewe ndo hewa kabisaaa hujui mpirabarcelona wanaomba wakutane na madrid nusu maana hio ndio mechi peeke rahisi kwao...liver kabahatisha tu kwa mancity hizo counter zake labda kwa munich ila barca na madrid hawez coz cku hizi na wao wanakaa nyuma flan hv mbele wanaenda kwa hesabu sana, liver watasumbua tu ila mwsho wao umeshafika